• 7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

  • Jan 15 2023
  • Durée : 38 min
  • Podcast

7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

  • Résumé

  • Katika Injili ya Yohana sura ya 6, Bwana anasema, “Mimi ni chakula cha uzima.” Watu walihisi wamekula chakula cha mwili kutoka kwa Yesu. Siku iliyofuata, walienda kumtafuta Yesu tena, lakini Yesu aliwaambia wasifanyie kazi chakula kinachoharibika bali chakula ambacho ni cha uzima wa milele. Na kwa hivyo, watu waliuliza, “Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu?” (Yohana 6:28) Yesu akajibu, “Hii ndiyo,kazi ya Mungu,mmwamini yeye aliyetumwa na yeye.” (Yohana 6:29).

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Afficher plus Afficher moins
Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de 7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.