• 5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)

  • Jan 15 2023
  • Durée : 38 min
  • Podcast

5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)

  • Résumé

  • Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa chakula cha mchana moja, Yesu akabariki na akafanya muujiza wa kuwalisha watu zaidi ya 5,000 na mkate na samaki, akiacha vikapu kumi na viwili vya mabaki. Kwa hivyo watu walimfuata Yesu na wakamtaka awe Mfalme wao. Waliwaza, Je! ingekuwa heri kuwa na mfalme kama huyo? Kwa hivyo walijaribu kumfanya Bwana kuwa mfalme wao, lakini Yesu aliondoka akaenda kuvuka pwani ya bahari. Umati mkubwa ukamfuata kwa hamu ya kutaka kupata chakula kingine kutoka kwake, Yesu akawakemea, akisema, “Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika,bali chakula kidumucho hata uzima wa milele.” (Yohana 6:27).

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Afficher plus Afficher moins
Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de 5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.